Description
KOZI YA LOGO DESIGN – Kwa Anayeanza Mpaka Mtaalamu
Ungependa kujifunza jinsi ya kudesign logo za kuvutia, zinazotambulisha brand, na kuleta pesa kupitia ubunifu wako? Karibu kwenye Kozi Kamili ya Logo Design – imeandaliwa kwa Kiswahili, kwa lugha rahisi na inayoeleweka, ikikufaa hata kama hujawahi kufanya design kabla.
Kozi hii ni ya mtandaoni, unaweza kujifunza kwa kasi yako mwenyewe, ukiwa nyumbani au popote ulipo. Tumejikita katika kukufundisha kila hatua, kuanzia mawazo ya awali hadi kukamilisha logo ya kitaalamu.
Ndani ya kozi hii utajifunza:
-
Misingi ya logo design: aina za logo, falsafa ya muundo (design thinking)
-
Utafiti wa brand & wateja kabla ya kudesign Logo
-
Kuchora concept ya logo (sketching ideas)
-
Kutumia tools kama Adobe Illustrator
-
Rangi, fonts, na symbolism katika design
-
Kuweka logo kwenye mockups na presentation ya mteja
-
Jinsi ya kuweka portfolio yako ya kazi na kupata wateja mtandaoni
Bonus: ✔ Files za mazoezi na templates
✔ Group ya WhatsApp/Telegram kwa support
✔ Mafunzo ya jinsi ya kupata kazi kwenye platforms kama Fiverr, Upwork, na Instagram
Kozi hii ni kwa ajili ya: 🎓 Wanafunzi | 🎨 Wapenzi wa ubunifu | 💼 Freelancers | 🚀 Wajasiriamali
👉 Usisubiri tena! Jifunze jinsi ya kutengeneza logos zinazolipwa – na ujijengee jina kama mtaalamu wa logo design.
Reviews
There are no reviews yet.