*** KARIBU MTOBI STORE***
MAFUZO YA GRAPHIC DESIGN, MOTION GRAPHICS, LOGO DESIGN, VIDEO EDITING, PHOTOGRAPY, DIGITAL MARKETING, SOCIAL MEDIA MANAGEMENT, AFFLIATE MARKETING NA WORDPRESS DEVELOPMENT
NUNUA KOZI, TEMPLATES, PLUGINS, SCRIPTS. MOCKUPS NA VINGINEVYO
JIUNGE NASI UWEZE KUUZA BIDHAA ZAKO
*** MTOBI STORE, TUNAKUJALI NA KUKUTHAMINI ***
Previous
Previous Product Image

Intermediate Graphic Design Course

Original price was: TZs 60,000.Current price is: TZs 45,000.
Next

Mtobi Graphic Design Class Course Outline

TZs 0
Next Product Image

Beginner Graphic Design Course

Original price was: TZs 65,000.Current price is: TZs 50,000.

Jifunze graphic design kutoka mwanzo hadi hatua ya kati kwa kutumia kozi hii ya kipekee kwa Kiswahili! Inafaa kabisa kwa beginners, ikikuongoza hatua kwa hatua kutumia Adobe Photoshop. Anza safari yako ya ubunifu leo!

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Tags: ,

Description

KOZI KAMILI YA GRAPHIC DESIGN KWA ANAYEANZA (Beginner)
Karibu kwenye kozi ya kipekee ya Graphic Design kwa Kiswahili—imeandaliwa mahususi kwa watu wanaotaka kuanza kujifunza ubunifu wa picha na michoro kwa njia rahisi na inayoeleweka.

Kozi hii ni ya mtandaoni (digital product), hivyo unaweza kuipata na kujifunza popote ulipo na muda wowote unaopenda. Haijalishi kama hujawahi kutumia programu yoyote ya design kabla—tunakuchukua hatua kwa hatua, kwa lugha rahisi na mifano ya maisha halisi.

Unachojifunza ndani ya kozi hii:

  • Utangulizi wa graphic design na umuhimu wake katika biashara & mitandao ya kijamii

  • Jinsi ya kutumia Adobe Photoshop kama mtaalamu.

  • Misingi ya kutumia Adobe Photoshop.

  • Rangi, fonts, na layout – kanuni muhimu za kubuni kazi inayoonekana kitaalamu

  • Jinsi ya kuandaa social media posts, logos, banners, flyers, na zaidi

  • Vidokezo vya kujipatia kazi kama freelance designer

Bonus:
✔ Free Resource za kutumia
✔ Group ya support kwa wanafunzi
✔ Mifano halishi ya kazi za Graphic Design

Kozi hii ni chaguo bora kwa:
👩‍🎓 Wanafunzi | 👩‍💻 Wajasiriamali | 👨‍🎨 Wapenzi wa sanaa ya digitali | 💼 Freelancers

👉 Usikose nafasi yako ya kuanza kujifunza leo. Ingia kwenye dunia ya ubunifu na ujifungulie fursa mpya!

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

Shopping cart

1

Subtotal: TZs 0

View cartCheckout