Description
KOZI KAMILI YA GRAPHIC DESIGN KWA ANAYEANZA (Beginner)
Karibu kwenye kozi ya kipekee ya Graphic Design kwa Kiswahili—imeandaliwa mahususi kwa watu wanaotaka kuanza kujifunza ubunifu wa picha na michoro kwa njia rahisi na inayoeleweka.
Kozi hii ni ya mtandaoni (digital product), hivyo unaweza kuipata na kujifunza popote ulipo na muda wowote unaopenda. Haijalishi kama hujawahi kutumia programu yoyote ya design kabla—tunakuchukua hatua kwa hatua, kwa lugha rahisi na mifano ya maisha halisi.
Unachojifunza ndani ya kozi hii:
-
Utangulizi wa graphic design na umuhimu wake katika biashara & mitandao ya kijamii
-
Jinsi ya kutumia Adobe Photoshop kama mtaalamu.
-
Misingi ya kutumia Adobe Photoshop.
-
Rangi, fonts, na layout – kanuni muhimu za kubuni kazi inayoonekana kitaalamu
-
Jinsi ya kuandaa social media posts, logos, banners, flyers, na zaidi
-
Vidokezo vya kujipatia kazi kama freelance designer
Bonus:
✔ Free Resource za kutumia
✔ Group ya support kwa wanafunzi
✔ Mifano halishi ya kazi za Graphic Design
Kozi hii ni chaguo bora kwa:
👩🎓 Wanafunzi | 👩💻 Wajasiriamali | 👨🎨 Wapenzi wa sanaa ya digitali | 💼 Freelancers
👉 Usikose nafasi yako ya kuanza kujifunza leo. Ingia kwenye dunia ya ubunifu na ujifungulie fursa mpya!
Reviews
There are no reviews yet.